ANGALIA MITAA MBALIMBALI YA KARIAKOO ILIVYOKUWA WAKATI WA MGOMO WA WAFANYABIASHARA


Mtaa wa Kongo.
Makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi.
Wamachinga wakiendelea kutesa.
Mtaa wa Msimbazi.
Mtaa wa Tandamti.
WAFANYABIASHARA jijini Kariakoo Dar es Salaam, leo wamefunga maduka yao na kususia kulazimishwa kutumia mashine za kutoza kodi kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA. Wakizungumza na mtandao huu wafanyabiashara hao wamepinga kitendo cha kuuziwa mashine hizo kwa shilingi laki 8 pamoja na kutozwa kodi kutokana na mauzo.
-gpl