AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA, NI DAKIKA 20 BAADA YA MWAKA 2014 KUINGIA

Hii ni ajali mbaya ya  piki piki iliyotokea  eneo la  Ilala katika Manispaa ya  Iringa  ikiwa ni dakika 20 baada ya  kuaga mwaka  2013 na kuukaribisha  mwaka  2014