VIDEO:BABY MADAHA AMPATA MWANAUME MAARUFU.

Msanii wa Mziki na Filamu hapa Tzee, Baby Madaha alias queen of swaggz ampata mwanaume maarufu na kuanza kufanyiwa mambo makubwa ambayo hakutegemea kufanyiwa.
Licha ya kumpata mtu maarufu siku ya J,mosi tarehe 29.6.2013 atafanya utambulisho wa wimbo wake mpya wa ‘NITEGE’ pamoja na mavazi yake katika ukumbi wa Regency Mikocheni.