ANGALIA MATUKIO KUTOKA MSIBANI KWA DK MVUNGI

   Makamu wa Rais, Dkt. Gharib Bilal (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia.
Profesa Rutinwa kutoka UDSM akiongea na baadhi  ya watu waliofika msibani hapo.
Dk. Bilal akimpa mkono wa pole mke wa marehemu, Anna Mvungi.
   Proffesa Shivji akitia saini yake katika kitabu cha rambirambi katika msiba huo.
Baadhi ya watu waliokuwepo katika msiba huo.
Mmoja wa watu waliokuja msibani akiweka sahini yake katika kitabu cha rambirambi.
Nyumba ya marehemu Dk. Mvungi.
HUKU mwili wa marehemu Dr. Mvungi ukitarajiwa kuingia leo, watu wengi hasa viongozi wanaendelea kumiminika nyumbani kwa marehemu na kutoa salamu za rambirambi kwa familia.
-GPL