LAANA: MWALIMU WA KIKE WA KEMIA ABAMBWA AKINGONONOKA NA MWANAFUNZI WA KIUME KWENYE MAABARA


Mambo kama haya yanatokea sana kwenye maeneo mengi ya shule..!!huenda ikawa wanafunzi kutoka na walimu au wanafunzi kutoka na wanafunzi wenzao hilo ni jambo la kawaida sana..Sasa linapokuja swala la mwalimu wakike kutoka na mwanafunzi wakiume linakuwa suala zito kidogo...Hii imetokea huko Uganda ambapo mwalimu wa kike anaefundisha somo la kemia alibambwa akingonoka na mwanafunzi wa kiume ndani ya maabala..Kwa mujibu wa chanzo chetu nchini Uganda Walikuwa wamezoea hako kamchezo baada tu ya mazoezi ya kemia wao huwa na mazoezi yao mengine
Zamwizi zilifika baada ya mkuu wa shule huo kugundua mchezo wao na kuwafatilia