BASI LAUNGUA MOTO

ajali ya motoAJALI YA MOTO.MNAMO 17/9/2014 MAJIRA YA 16.00 HRS HUKO KIJIJI CHA NG'ALILE (W) RUANGWA (M) LINDI KATIKA BARABARA YA NANGANGA - RUANGWA, GARI LA ABIRIA NO.T417BNH YOUTONG MALI YA BALAJ TRANSPORT IKIENDESHWA NA ATHUMANI RASHID CHONGWE MWENYE UMRI WA MIAKA50 KABILA MZARAMO  MKAZI WA BUGURUNI D'SLAAM LILIUNGUA MOTO NA KUTEKETEA KABISA.
CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAJULIKANA. HAKUNA MADHARA KWA ABIRIA WALA MALI ZAO.