mwaka huu majanga basi lanusurika kuzama mto pangani Kwenye kivuko cha mv pangani baada ya kufeli break leo hii asubuhi majeruhi dereva peke yake