Pamoja na Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo....