Mara nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye wedding tofauti lakini Range hii ambayo ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko Range zote ambazo zipo Africa Mashariki.Watu wangu mnaopenda magari enjoy kuangalia hizi picha saba za hili gari.