PICHA ZA AJALI MBAYA YATOKEA MLIMA WA MZALENDO IGAWILO JIJINI MBEYA,


 Lori baada ya kupata ajali katika eneo la mlima wa Mzalendo Igawilo jijini Mbeya wakati likielekea jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wakipelekwa hospitali.