VIFAA NA MITAMBO YA UJENZI WA KIWANDA CHA SEMENTI LINDI VYAWASILI

IMG_0777

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw.Ludovick Mwananzila (katikati) akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (kushoto) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara Bw. Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya Ujenzi wa kiwanda cha Sementi cha MEIS mkoani Mtwara. (Picha na Chris Mfinanga).

IMG_0811
IMG_0757
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha Sementi cha MEIS. Merey Balhabou (kushoto) akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi Bw. Ludovick Mwananzila pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha Sementi mkoani Lindi mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini China.
IMG_0545
Meli iliyobeba mitambo hiyo ikiishusha kwenye Bandari ya Mtwara.
IMG_0696
Malori yakiwa kwenye foleni ya kupakia Mitambo hiyo.