WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA KWENYE GARI


Katika hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika gari ambao
wanasadikiwa kuwa ni machangudoa huko nchini Nijeria wamekutwa wamekufa.



 huku ikisemekana chanzo cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika gari hilo kwani vioo vyote vilikua vimefungwa  na hivyo kusaoketi