MOTO WA AJABU WAZUKA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO JIJINI MBEYA

Moto mkubwa umezuka katika hotel ya Janco forest mpya jijini Mbeya chanzo cha moto hakijajulikana mpaka tunaondoka katika tukio hilo