AJALI MBAYA YA LORI YAUA MKOANI SINGIDA

Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma . Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa papo hapo.