Baada ya penzi la staa wa
Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao
wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar.
Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.
Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt
kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona
wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? Jamaa
aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani
Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo
ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao
ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa
mwaka jana ndipo alipomkimbia.“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda
alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka
2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na
furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.
“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote
tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona
anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao,
akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.






