MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan
Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya
na hakuna msanii atakayeshiriki.
“Ndoa yangu haitakuwa na mbwembwe na itakuwa ya kikubwa zaidi, kwani hakuna msanii yeyote atakayeshiriki itakuwa ya kimyakimya tena asubuhi na mapema kwani sioni sababu ya kutangaza au kufanya sherehe kubwa,”alisema Banza.






