
MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya
kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu
wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa
kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko
Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo.
Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na
usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake
mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona
hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga
chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo
walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as
well.

Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.






