"MTU MWENYE OLD SCHOOL CAR ALIOKO NDANI YA JIJI LA DAR " haya ni maneno ya CPWAA



CPwaa msanii maahiri kwa staili ya crank amepost kitu kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuwaomba mashabiki wake ambao wataweza kumtafutia gari zile zakizamani kama hilo unaloliona hapo pichani basi awasiliane nae kwa simu namba +255 659 103 000. Ikumbukwe magari hayo yawepo hapa Dar es Salaam na sio nje ya mkoa huu.