DANGURO SASA LAHAMISHIWA CHINI YA MTI , PATA KUONA MWENYEWE


Danguro chini ya miti, tumezoea kuwaona makahaba wa jijini dar hususan kinondoni wakifanya ukahaba katika maeneo ya kuzikia watu ya kinondoni makaburini, hii haina tofauti na makahaba wa kiafrika wanaofanya biashara ya kuuza miili nchini Italy kama anavyoonekana huyu katika picha akifanya biashara hiyo chini ya miti,inasemekana mwanamke huyu anatoka nchini nigeria na hupata fedha nyingi kutokana na biashara hiyo kisha kuitumia familia yake iliyoko mji wa benin city edo state nchini nigeria.