Baada ya muda mrefu kupita hatimae filamu ya Wastara Sajuki imeingia mtaani rasmi janaKupitia ukurasa wake facebook ameposti picha akiwa ameashika filamu hiyo mkononi na baada ya muda mashabiki wake wakaanza kumtumia picha wakiwa wameshika filamu hiyoShaymaa inasambazwa na kampuni ya steps na ndani ikiwa imewashirikisha mastaa wengine kama Salm Jabu na Yusuph Mlela