VIBAKA WACHEZEA VICHAPO KUTOKA KWA WANANCHI, WAANGALIE HAPA

Kibaka mmojawapo akiwa hoi ajitambui mara baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali kutokana na tabia ya udaokozi ya vijana hao kuwachosha.
Vijana wawili wanao tuhumiwa kutumia boda boda kuwapora  mikoba na simu  walipokea kichapo kikali kutoka kwa wananachi baada ya jaribio lao la kutaka kumpora dada mmoja mkoba aliokuwa ameuweka begani kushindikana.Tukio hilo lililotea kwenye makutano ya barabara kuu ya Morogoro-lringa na Mazimbu Mjini jirani na kiwanda cha kusindika Tumbaku. 
 Polisi wakiwa eneo la tukio mara baada ya kupewa taarifa na wananchi mara baada ya tukio hilo kutokea.