HALI YA CHADEMA YAZIDI KUWA MBAYA, WANACHAMA WAMKATAA DK SLAA KWA MAANDAMANO

Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata kwenye kwenye Maandamano Makubwa ni hiki wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.
Mods tunaomba postive na Negative Pictures anachokutana nacho Dr.slaa ziruhusiwe hapa Jukwaani,naona watu wamekaa kusifiana tu hapa.Ukweli ni Kwamba Dr.slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma.Picha zingine zitakuja na saambili Usiku ITV,TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr.slaa.