MUONE DIAMOND ALIVYOJICHANGANYA USWAHILINI WAKATI ULIPOHUDHURIA 40 YA MTOTO WA DANCER WAKE



Diamond alidhihirisha kuwa yeye ni mtu wa watu wote na anaweza kujichanganya popote pale
alipohudhuria sherehe ya 40 ya mtoto wa Dancer wake Dummy..ishu nzima ilikuwa mitaa ya Tabata kwa wazazi wa Dancer huyo...



Wakielekea nyumbani Dummy (aliyetangulia) akiwaongoza