sauti sol ambao wapo katika kuwania kategori mbili za tuzo za channel O walikanusha vikali tuhuma hzo na kuhaidi kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya blog hizo.
skendo hyo imewaongezea umaarufu na kura nyingi katika kinyanganyiro cha tuzo zenye ushindani mkubwa africa. tuzo za channel O.