PETER MSIGWA AMBAYE NI MBUNGE WA CHADEMA AUGUA GHAFLA NA KUKIMBIZWA HOSPITAL

Mbunge wa Iringa Mjini Kwa Tiketi ya CHADEMA Mh.Peter Msigwa(Mchungaji) amezidiwa ghafla na homa na kukimbizwa hospital,hali hiyo imetokea wkt wakiwa kwenye shughuli za kichama.
madaktari wanamuhudumia vizurr na anaendelea vyema sasa.
Taarifa zaidi zitakujia,