MPENZI WANGU ANAPENDA SANA KUANGALIA KANDA ZA NGONO HADI USIKU ANANINYIA UTAMU WAKE, NIFANYAJE AU NIMUACHE


Habari zenu mambomseto blog.Admini naomba usinitaje jina .Nimeishi ni mpenzi wangu kwa siku nyingi sasa,lakini tabia yake hii sasa imenichosha.Yaani yeye ikifika mda wa maakuli yeye huchukua laptop yake na kuwa bize kuangalia video za utupu pamoja na wanawaketu na kunisahau mimi
Naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje....!!?