Wasanii maarufu wahusisha na CHADEMA kugombea Ubunge 2015 Tetesi ni kuwa: - Judith Wambura (Lady Jay Dee) anaandaliwa jimbo moja Musoma, - Selemani Msindi (Afande Sele) anaandaliwa jimbo la Morogoro Mjini - Fredy Maliki (Mkoloni) anaandaliwa jimbo moja mkoani Tanga. - Jacob Steven (JB) anaandaliwa jimbo moja la jijini Dar es salaam.
Inasemekani ni kutokana na ushawishi wa wabunge vijana Halima Mdee, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi na John Mnyika